Lugha
MSAADA KWA WANAFUNZI Charity

Kamazi Updates

Follow our daily interactive timeline of live impact across the globe.

Published on: Jun 24, 2026 09:47
Charity Update Image
Kamazi foundation ilitoa msaada wa mabegi ya wanafunzi wa shule ya St.Nikolas iliyopo mkoani mtwara kusini mwa Tanzania mwezi may 2026 ili kuwezesha watoto wa shule kuwa wenye furaha na kufurahia masomo yao.
Watoto hawa wanatokea katika familia zisizokuwa na uwezo kiuchumi, hivyo sisi kama taasisi isiyokuwa ya kiserikali tuliona ni vyema na busara kutoa mchango wetu huu mdogo kuwawezesha watoto hao kufanikisha ndoto zao za baadae.
Lakini pia tunapokea maoni na ushauri mbalimbali kutoka kwa watu wote duniani wenye kuguswa na hali mbaya ya maisha kwa watoto wa kiafrika.
Help spread the word!

Leave a Comment

Public Comments (0)

No comments yet. Be the first to share your thoughts!