Your support helps vulnerable families, children and communities that no body talks about.
Donate Now UPDATESRaised
Donors
Projects
Beneficiaries
Familia nyingi zimekuwa zikiteseka na mamia ya wahanga wakifa kwa njaa, ikiwemo watoto kuacha kuudhuria masomo na mitafaruku ya familia, kama unavyojua kwenye njaa hakunaga amani! Tafadhali tusaidiane kuzikomboa familia na watoto hawa ili kwa pamoja tuwe na ustawi. Kilicho kidogo kwako kwetu ni zaidi ya kikubwa sana.
Unyanyasaji na utengano unaosababishwa na tofauti za kijinsia ni adui mkubwa wa maendeleo ya vizazi vyetu na vizazi vijavyo, tafadhali tushike mkono tunapopambana kuzimaliza tofauti izi ili kuipa jamii ustawi. Sio rahisi kufanikiwa bila ushiriki wa jitihada yako japo kidogo.
Bila elimu ya utunzaji wa mazingira na mbinu mbadala ya kuodoa uharibifu wa mazingira, watu hwawezi kabisa kushika wimbo wa mazingira kwenye vichwa vyao! nini kifanyike? kuwapa watu elimu jinsi ya kuandaa na kujikita katika njia mujarabu na mubashara za kuhifadhi na kuyakinga mazingira dhidi ya majanga ya asili.
Katika hii sekta tutajikita katika uandaaji wa vijana katika kujiajiri na kuendeleza wale waliojaribu kuibuka na teknolojia za viwanda vidogovidogo, amazo zinalenga kuleta manufaa kwa jamii nzima.
We also facilitate availability of the vaccines for the little and new born Childrens from fatal tropical diseases. But also other world pandemics.
Hapa tunafundisha watu jinsi ya matumizi wa kila siku na uwekaji wa akiba kwa ajili ya kesho na kesho kutwa, uchumi, mapato na matumizi. Bila watu kuyajua haya ni ngumu kuwa na uchumi imara na wa kujitegemea. Pia uzalishaji kama utakuwa uzalishi... utakula nini?? Tunawaelimisha vatu na kuwawezesha namna ya kuendana na mazingira yao.
It is highly pleasure and a great honor to Receive members who could join us in this great Project.
May be you want to join us in running our projects, or you want to pull up our hand
by contributing some funds, we welcome you by two stretched and unfolded heart on behalf of our little brothers.
Help a poor child whose mother died of Cancer, hence no food, shelter nor education.
The Real Life That no Body talks About..! ||
We are committed to supporting vulnerable communities through education,
healthcare, emergency response and sustainable development programs.